Usajili | Umekwishajisajili?Ingia Ndani


Mauzo Sheet Wakala


Wakala ni nani?

Ni Kijana mwadilifu aliyeamua kujiunga na vijana wenzake kuitangaza na kuitumia mauzosheet, mtandao wa kisasa unaowawezesha wafanyabiashara kuendesha biashara zao kidigitali.

Nani anaweza kua wakala?

Kijana yoyote (wakike au wakiume), aliyeamua kuthubutu na kuungana za vijana wenzake kutatua matatizo yanayoikumba jamii hasa kwenye sekta ya bishara.

Kazi za wakala?

Wakala wa MauzoSheet anakazi kubwa tatu, nazo ni:-

  1. Kutanua soko la MauzoSheet
  2. Kutafuta na kuvumbua njia za kutatua matatizo wanayokumbana nayo wafanyabiasara wa eneo unaloishi
  3. Kuleta maoni ya wateja kuhusu MauzoSheet